SERIKALI YAUNDA TIMU KUISHAURI NAMNA YA KUENDELEZA WAANDISHI WA VITABU NCHINI-WAZIRI MKENDA

. . Na Mathias Canal, WEST-Dar es salaam Serikali imeeleza inao wajibu kuwaenzi waandishi wake kama ambavyo inapaswa kuwaenzi watu wengine wote wanaoweka jitihada za dhati kwa manufaa chanya ya taifa. Namna ya kwanza ya kuthamini jitihada za waandishi wa vitabu ni kununua na kusoma kazi zao. Kama alivyopata kusema mwandishi nguli wa Afrika Mashariki,